Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
Sebule kubwa
Jiko
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Usalama wakutosha
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.