Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


π°Inapangishwa, UBUNGO MAJI
π Kodi 150,000/= *6
π Nyumba Nzuri sana Wahi
_________
___
#Nje na ndani Inapigwa Rangi, tailiz washaanza kuweka
β’ Jiko Linawekwa kabati na sink la kuoshea vyombo
β’ Chumba Master Kizuri
* Tails and gypsum
* MAJI yanatoka ndani
#Note:- ni mpya ziko kwenye finishing
_________
π *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
#Service Charge Tsh 15,000/=
β:- 0753172516