Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU NDO MTU ANATOA VITU SA IVI
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
KODI NI 150,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: NI UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI BAJAJI 700
UKISHUKA KWENYE BAJAJI PANA MWENDO WA DK 6 MPKA 8 KWA MIGUU KUFIKA NYUMBAN
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
IPO KWENYE FENS FLEAN YA SENGE'NGE ILA PARKING YA GARI AMNA
NYUMBA NI NZURI SANA KWA KWELI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
Simu 06 59 33 67 51 Wsp 07 86 08 56 37