Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani


Upande wa nyumba huo upo vikindu voda inapangishwa zipo pande mbili
Una chumba seble choo na jiko
*Bei laki 120k/laki 150k kwa miezi 6 Kodi inaanzia
*Umeme mnashea wawili tu kwa sabumeter
*Maji Kila mtu na yake
Mawasiliano zaidi 0718326775/0744200926