Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


Pagale 👉 kubwa 👉 Bei poa
Pagale linauzwa kimara mwisho kwa kichwa km3 kutoka mwendokas
Usafili bajaji daladala 500
Balabala mpyà inayowekwa lam fulsa
Eneo Lina 23 kwa 18 kubwa
Bei 16 milion maongez yapo kimbia
Pagale Lina vyumba v4 sebule dinning jiko store vyumba vikubwa Sana
Miundo mbinu maji na umeme vipo jilan balabala inaishia nyumba ya pembeni
Galama za kupelekwa site 20k asilimia 10 kwa dalali pind yatakapo fanyika malipo
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347