Nyumba inauzwa Kivule, Dar Es Salaam







✍️IMERUDI TENA SOKONI✍️
📌NYUMBA NI MPYAAA📌
Nyumba inauzwa kivule njia panda shule wilaya ya Ilala Dar
👉BEI MILION 67 maongez yapo
👉Vyumba jumla ni v4 na masta jumla zipo 3 (tatu)
CHUMBA CHA NNE KIPO NJE KINA CHOO NDAN PIA
FREM MOJA YA BIASHARA
Dining siting Stoo tailz jipsam umeme
Majiko yapo mawili la nje na ndani
📌Ina kisima cha maji safi
Eneo sqm 400 (Makadilio)
Gari moja tu had mjini