Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro


[: Apartment nzuri na ipo jirani na Barabara ina vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master,sebule,jiko na choo cha familia kwenye fensi moja zipo apartment 4 kwenye fensi moja na hii moja ndio ipo wazi na inajitegemea kwa kila kitu zipo kimara bucha upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 4 tuu kwa miguu
[: Bei ni 350k x 6 mawasiliano = 0754300464 RICH