Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
House for sale location mbagala
===========================
chamaz tsh million (43) tu
Nyumba kubwa ina vyumba vnne vya
kulala kimoja master bedroom ina
sitting room ina daining room na jiko
pamoja public toilet ina maji na umeme
upo wa luku
Nyumba ina fence gari ndogo 2 zina ingia
ndani ukubwa wa eneo square miter (400)
Ina document alali za office ya serikali ya mtaa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye
hii nyumba ni dakika 5 TU KWA MWENDO WA MIGUU
Kwa maelezo zaid piga cm au
WhatsApp
+255717500744
+255620384761
YouTube
dalali_kipe_kilwa_chamazi
dalali_kipe_kilwa_chamazi
dalali_kipe_kilwa_chamazi