Nyumba inauzwa Msongola, Dar Es Salaam
NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 60 TU
IPO KITONGA MSONGOLA JIJI LA DAR ES SALAM WILSYA ILALA
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM NA DINING ROOM INAJIKO NA STORE INA KISIMA CHAMAJI NA UMEME UPO WA LUKU
ENEO SQUARE METERS 800
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
NJOO UONE LIVE MDAU WANGU UTOJUTIA RABDA MSHINDWANE BEI TU
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 4 TU