Nyumba inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Location:- Ubungo External Darajani
Bei:- Tsh Million 90 maongezi yapo
Ukubwa wa Eneo ni SQMT 390
Ina hati kutoka wizarani
Nyumba ina vyumba 12
Mmiliki ni mmoja
Umbali kutoka barabarani meter 150
Gari inafika kwenye Nyumba
Karibuni sana ndugu wawekezaji
Gharama za kupelekwa site ni Elfu 50
Kwa maelezo zaidi piga simu
0745834253/0615382085
agent commission 10%