Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KODI TSH 220,000X6
KATI YA HIZO MOJA YA CHINI IKO WAZI
MAHALI KIMARA MWISHO DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#KIBALAZA KIKUBWA CHA KUPIKIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258