Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA KABATI 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0679 956 863 
0759151524



















