Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#MAFENI KOTE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS BUSTANI SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 BAADA YA HAPO UTALIPA MIEZI SITA0677370515