Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #120k
Chumba cha kulala
Sebule
Sehemu ya jiko
Choo ndani
Inajitegemea umeme, maji bill yanaflow chooni
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 4
Ndani ya fence parking IPO,
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo, au bodaboda
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37