Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 500,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA
✅️CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
✅️JIKO KUBWA LA KISASA
✅️FULL A/c
✅️GARDEN NZURI INATENGENEZWA
✅️ULINZI BURE 24HRS
✅️PARKING KUBWA SANA 🚘
✅️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✅️MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
📌NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚘
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp