Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA CHA NJE
#HAKUNA JIKO
#LUKU YAKO MWENYEWE FAMILIA 4TUU
BEI NI 120,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Simu
0679997610
0747997630
Msigwa