Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


New Apartment for Rent-
Master bedroom, sebule & jiko
๐ Nyumba ni mpya, ukilipia wanafanya finishing baada ya wiki unahamia
โข Nyumba ipo karibu sana na lami
โข Unajitegemea umeme & maji
โข Fenced & parking ipo
๐ฐ Bei: TZS 300k KWA MWEZI
๐ Mahali: KIMARA BARUTI
๐
MASHARTI YA MALIPO MIEZI 6
Huduma za Ziada:
โข Service charge: TZS 20,000 (itadumu mpaka utakapopata nyumba)
โข Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi:
๐ CONTACT
CALL/WHATSAPP..0714 418 005