Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI KALI INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI KM 2 UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 1 UPO KWA NYUMBA
-SEBULE KUBWA
-CHUMBAKIMOJA KIKUBWA
-JIKO KUBWA
-CHOO NDANI KIZURI
-UMEME LUKU YAKO
-MAJI METER YAKO
-RESERVE TANK
-PAVING BLOCKS 🚫
-PARKING IPO 🚘NA FENCE KUBWA
-GOOD ENVIRONMENT 👍
KODI 200,000 × 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp