Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
____________________
MAHALI- MLIMWA C (Karibu sana na ofisi za Umoja Wa Mataifa U.N)
_____________________
MUUNDO
-Vyumba V3 vya kulalaa (01 MASTER)
-sebule
-Store
-jiko zuri
-Public toilet
_________________________
HUDUMA
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
__________________________
MALIPO
~Bei ni 450,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 3+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️ MAWASILIANO
+255625631258