Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI BARABARA YA ZEGE
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Bei: 180,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.5 barabara ya zege Bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena IPO WAZI WAHIII
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI