Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location:: ubungo external gari ya chi ni rafiki
Ukishuka river side
Umbali dakika 3 kwa mguu
SIFA ZAKE
-chumba
- Sebule mastet
- jiko kabati zinawekwa
Parking ipo
Umeme LUKU inajitegemea
Dawasa inajitegemea
na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo tatu Ndani ya fence Parking Ipo
Fedha ya dhamana tsh 400000
KODI YAKE Tsh. 400000 /Malipo Miezi Sita
Service Charge 10,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
#Dalali Makini Ubungo Riverside
0712500602
0755336565