Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani public
Jiko zuri
Kodi 220,000 kwa mwezi × 6
PIA kuna chumba sebule choo tu 160,000/=
Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 700 Barabara ni Lami
Nyumba ya chini ndo ipo wazi Inajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
##0688617926
##0655256419




















