Kiwanja kinauzwa Boma, Iringa
Boma linauzwa
Lipo mtaa wa nguvu kazi kata ya kihonda,
Kiwanja kimepimwa, lipo kwenye kiwanja namba 691.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 683.
Lina vyumba viwili, dining, living room, puplic toilet
Bei milion 17.
0652644084
0767932265