Kiwanja kinauzwa Boma, Iringa
BOMA LINAUZWA KISHIRI
-vyumba vitatu (3) vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 558 SQM
-ina hati miliki mkononi
-umeme, maji na barabara vipo
-bei Milioni 9 na laki 5
☎️ 0743220097