Kiwanja kinauzwa Bonyokwa, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
BEI MILIONI 65 MAONGEZI YAPO KIDOGO SANA
KIWANJA KINA HATI MILIKI
UKUBWA SQMT 1200
KIWANJA KIPO BONYOKWA PIA UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
BODA BUKU MPAKA SITE
KINAFAA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA
MAKAZI BINAFSI KIMEGUSA BARABARA YA MTAA
GHARAMA ZA KUONA KIWANJA ELFU 30
CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515