Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bonyokwa, Dar Es Salaam
iNYUMBA INAUZWA
YUKO TIYARI HATA KWA AWU 2 ANA JAMBO LA MUHIMU ANATAKA KUOITATUA HANA NAMMA
INAUZWA KAMA ILIVYO NYUMBA NI MPYA KABISA NADO PEVING BLOCK TU .
NDANI IMEKAMILIKA KILA KITU
NYUMBA INA KARATASI ZA SERIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO BONYOKWA TBT KUTOKA STENDI YA BONYOKWA NA ILIPO NI KAMA NYUMBA YA 4 TU.
INA VYUMBA 3 VIKUBWA
MASTER 2 KUBWA KIMOJA KAWAIDA
INA SITING ROOM NA DAINING JIKO NA STORE NA SEHEM YA KUJISOMEA WATOTO.
BEI
ML 120 TOP 110.
Contact call 0712531657
0789731695
KARIBU UOKOTE DODO HILI.