Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA BINAFSI INAUZWA GOBA ROAD KWA ROBERT (UBUNGO MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: Meter 900 Kutoka Barabara kuu Ya Lami
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Sana
Bei : 110 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=
0746 433 854