Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA IPO GOBA MAGET INAPANGISHWA
Inavyumba
Viwili kimoja master
Sebule
Jiko ya kisasa
Public toilet 🚻
Full AC
Dakika 2 kutoka rami
Kodi yamwezi laki 600,000/=
Kuona nyumba elfu 20,000
0679 956 863
0759151524
0779062686