Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa Goba kulangwa
Ndani Kuna nyumba Ina chumba, sebule, jiko, choo (X2)
Kutoka lami kilometer 1
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 770
Kiwanja kimepimwa, hati bado
Ni kizuri kwajili ya makazi.
Mtaa mzuri sana, umetulia
Bei Million 100. Maongezi.
Piga; 0752 502 988.
Karibuni sana.
Office Location📍; Goba, Makongo road.