Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA: GOBA NJIA NNE.
Vyumba 3, master zipo 2.
Sitting room, dining, kitchen, store and public toilet, ✅️
Nyumba ni mpya bado inamaliziwa.
(Ukiinunua kabla haijaisha)
BEI: Million 170.
(Ukitaka imalizike kila kitu, then uinunue)
BEI: Million 250.
Nyumba ya kisasa nzuri sana inauwanja wakutosha.
Sqm 500
Umeme, maji, Na Ac vipo.
Hati ipo.
Kutoka lami meter 50 Tu.
Call
0653966601
WhatsApp number