Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa Goba mpakani,
Unaingilia madale mwisho, (kushoto kama unatokea njia nne)
Kutoka lami km 3
Kiwanja kina ubukwa wa 12 kwa 30
BEI; Million 10 maongezi.
Kina documents za serekali ya mtaa.
Mtaa mzuri sana,.
Piga;
;
Karibuni sana
0762 652 066
0692904876
0719082300
Dalali mbez bechi afircana kuona kiwaja elifu30k