Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
👌 TUMESHUSHA BEI KWA SASA NI MILIONI 150 TU.
....... ......... ...... ...... .... .
Eneo zuri kiuwekezaji kibiashara linauzwa lipo Goba kwa Ulomi Mita 20 kutoka Goba road , Linatazama barabara kuu iendayo TATEDO.
LIMESHARASIMISHWA
Ukubwa sqm 600
Bei milioni 150
🤝Karibu ndugu Mteja njoo inbox TUZUNGUMZE .
0782428327