Kiwanja kinauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA
KIPO GONGO LA MBOTO UWANJA WA KAMPALA
UKUBWA: 116 sqm
BEI: INAANZIA MILIONI 20
Ni 500 mita kutokea gongola mboto stand
TAARIFA ZA KIWANJA
📍Kina mkataba wa mauziano
📍kina pagale linaishi watu
📍pamechangamka ni pazuri kwa biashara
For more infomation contact us📞0673200848