Kiwanja kinauzwa Kati, Arusha


NYUMBA NZURI YAKUMALIZIA VITU VICHACHE INAUZWA
Mahali:- ilazo extension
Kitalu:- C (hajai maji pakavu mda wote)
Ukubwa wa kiwanja SQM 540
Muundo wa nyumba
-vyumba vitatu vya kulala viwili kati hivyo vikiwa master
-sebule, dining, jiko, stoo na choo
-study room
-imefungwa grill za milango na madirisha
-wiring tayari
-mifumo ya maji tayari
-plaster nje tayari
-mbao za gypsum board zimepigwa tayari
-maji yamevutwa yako nje niyakuingiza ndani tu
-rough floor tayari
-bei 92,000,000/= tu mazungumzo yapo
NYUMBA IKO MITA CHACHE KUTOKA LAMI
Documents:- 99 years title deed(hati ya miaka 99)
Mawasiliano
0628891445
0755690265
#estatedodoma
#dalalidodomajiji
#viwanjabeirahisi