Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


*ENEO LILILOPIMWA LINAUZWA KIBAHA MWANALUGALI*
-Eneo lina Sqm 3968
-Km 4 kutoka morogoro road
-Unaingilia kibaha halmashauri
-Tayari Lina watu Kibao wanaishi
-Miundombinu mizuri mpaka Site
-Umeme tayari upo hadi site
-Maji ya DAWASA hadi site
-Eneo ni kubwa linafaa kwa uwekezaji au makazi
-Ni tambarale Ardhi nzur kijiografia
- Eneo lina hati ya wizara ya Ardhi
-Panafikika wakati wote
-Makazi ya kishua sana
-Bei ni Mil 30 Tuu 💸
-Biashara ofisini
-Kwenda kupaona site ni kila siku
Tupigie:
0659 972 868
0763 172 814