Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
๐#ENEO_LINAUZWA*
๐#Location Kibaha mji
๐#Mtaa *Bokotemboni...Baada ya Hospital ya Rufaa ya Mkoa (Tumbi)
๐#Eneo ni la biashara kwani lipo kwenye barabara kuu
๐#Eneo limedesgniwa raman ya bar na lodge
๐#Bar ilishajengwa na inafanya kazi ni bar nzuri na ya kisasa
๐#Lodge imejengwa vyumba viwili tu (Masters) kwasasa wanaishi wahudumu wa bar na vimejengwa kwa kufuata raman ya lodge ya eneo
๐#Store imejengwa ipo kwaajili ya vinywaji na vitu vingine
๐#Jiko limejenga na linavifaa vyote jiko la kisasa na linafanya kazi
๐#Vyoo vipo vya kisasa
๐#Paved parking
๐#Eneo limepimwa
๐#Ukubwa wa eneo ni robo eka (sqm 1000)
๐#Pia eneo linafaa kwa matumizi ya sheli (Ukibadili matumizi)
๐Bei 40 million
โ๏ธ 0757208653