Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA NZURI, BADO MPYA INAUZWA KIBAHA KWA MATHIAS
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 400
BEI MILIONI 38
MAONGEZI YAPO
VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI SELF
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
DINNING KUBWA NA STORE
UMBALI WA KUTOKA MOROGORO ROAD NI KILOMITA TATU
NAULI YA BODA BODA NI 1500
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SERIKALI ZA MITAA
NYUMBA INAANGALIA BARABARA YA MTAA
KUPELEKWA KUKAGUA SITE NI 30,000/
NYUMBA NI MPYA IMEKAMILIKA NDANI BADO VITU VIDOGO HASA KWA NJE
UMEME NA MAJI TAYARI
KARIBU MTEJA
TUPIGIE 0746 433 854