Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INAUZWA KIBAHA CCM - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Pagale la Kumalizia Ujenzi
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,383
Umbali: Meter 800 Kutoka Barabara kuu Morogoro Road Na Meter 100 Kutoka Mloganzila Road
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 65 Million (Maongezi Yapo )
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
#0769029970👈
#0652573978whatsapp