Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


KIWANJA KIKUBWA SANA SQM 1250 KARIBU NA BARABARA KINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA.
==========
✍️ KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA
DK 10 TU KUTEMBEA KUTOKA STAND.
==========
• KINA UKUBWA WA SQM 1250 (25*50)
• BEI TSH 18M TU.
✍️ KIWANJA KIPO MTAA MZURI SANA.
✍️ KIMEZUNGUSHIWA NGUZO NA SENYENGE
✍️ KINA UKUTA UPANDE MMOJA
==========
💰 BEI TSH 18M TU..
==========
CALL/WHATSAPP:
0677445508