Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
๐KWA mara nyingine tena nawaletea kazi za bei chee
๐Karibu kwa official Dalal kibaha tz๐น๐ฟ
๐Nyumba ya bei rahis INAUZWA
๐Mahali kibaha kwa mfipa
๐Nyumba INA VYUMBA vitatu vya kulala, chumba KIMOJA ni master bedroom, sebule yenye dinning
๐Ukubwa WA KIWANJA 25x20
Bei million 20,000,000/=
โ๏ธ 0757208653