Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani





YARD SQM.1,500 INAPANGISHWA TSHS.7.5 MILIONI, KIBAHA-PANGANI.
Hili eneo limezunguushiwa Ukuta na lina Geti.
Lipo umbali wa kilomita 2.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ni upande wa kulia ukitokea Dar.
Kiwanja cha pili baada ya Barabara ya Lami.
INAHITAJIKA KODI YA MWAKA MZIMA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.