Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


Eneo lipo kibaha vigwaza mkoani km 7 kutoka morogoro road.hapa Pana heka 13 na kila heka moja ni milion 1 moja Ila zinauzwa zote kwa pamoja mil. 15 maongezi yapo ukiona umechoka makelele ya mjini rudi edeni kwenye utulivu mil. 15 maongezi yapo. 0762089247/0714539608