Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIPO KIBAMBA SHULE MAENEO YA KANISA LA ROMA BARABARA IENDAYO KIBWEGERE UMBALI WA KM 1 KUTOKA BARABARA YA LAMI.
- kimebaki kiwanja kimoja tu ndugu Mteja -
Ukubwa ni -
Sqm 400
Bei Milioni 12
Maongezi yapo kidogo.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI