Kiwanja kinauzwa Kiluvya, Pwani


NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
JUU PANA VYUMBA VYA KULALA VINNE VYOTE MASTER , SEBURE KUBWA ,JIKO, DINNING , PUBLIC TOILET
NA UNDERGROUND KUNA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER
BEI MILLION 75 MAONGEZI YAPO
NYUMBA INA HATI MILIKI YA WIZARA (CLEAR TITTLE DEED)
UMBALI KILOMETA 1.7
UKUBWA WA ENEO SQM 1200
CALL 0746 433 854