Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F40361a81-9910-4e37-af2d-acd8d9c6f3ac.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F40361a81-9910-4e37-af2d-acd8d9c6f3ac.jpg&w=256&q=75)
NDUGU MTEJA CHANGAMKIA FURSA HII PAGALE KUBWA LILILOJENGWA KISASA NA UIMALA MKUBWA SANA LINAUZWA NA LIPO TAMBARARE NA SEHEMU NZURI BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
💥PAGALE HILI LINASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA NA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#STORE
#PANAFAA KWA MAKAZI
#BADO KUEZEKWA TUU NA FINISHING NYINGINE
#UNAWEZA KULIGAWA MARA 2 AU TATU NA KUWEKA NYUMBA ZA WAPANGAJI
#LINAENEO KUBWA LA KUONGEZA NYUMBA NYINGINE NA PARKING IKAWEPO
#LIMEZUGUSHIWA FENSI YA WAYA NA KUWEKWA GETI
UKUBWA WA ENEO HILI NI METER 45 / 35
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
🇹🇿 PAGALE HILI KUBWA LIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU MOJA TUU HADI KWENYE NYUMBA
0710614924
0688653940