Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


——
UJANJA MJIN NI KUWA NA KWAKO WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU ILI NI DODO CHIN YA MPAPAI
NYUMBA NZURI KUBWA YA FAMILIA INAUZWA NA IPO SEHEMU NZURI SANA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 55,000,000/=
INAUZWA MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO NI 20/18 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Kupelekwa kwenye saiti elfu ishilini
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja