Kiwanja kinauzwa Lugoba, Pwani


Lipia kidogo kidogo umiliki kiwanja kwa kulipia 90,000/= tuu kwa kila mwezi unapata kiwanja lugoba chalinze.
Muda wa malipo ni miezi 20
Ukubwa wa kiwanja ni kuanzia 600 sqm
Mahali ni Lugoba Chalinze
Umbali kutoka barabara ya lami ni 3km
Kuangalia site ni kila Jumamosi
Nauli ya kufika site ni 10,000/=
Tupo Sinza Makaburini
☎ +255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi