Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
Kiwanja kizur sana #MBEZI_KWA_MSUGURI
Kinauzwa kipo mbezi kwa msuguri
Ukubwa mita 30 kwa 25 YAANI SQMT 750
Kimepimwa na kinamawe
Kiwanja kiko mtaa mzuri sana
Wenyeutulivyu Wenye hewa nzuri Barabara nzuri
PANAFAA KUJENGA MAKAZI AU APARTMENTS
BEI NI Mil 27 #maongezi_yapo
#0652472014
#0754344786