Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Ukubwa-sqm 1323
Manunuzi hati ya serikali ya mtaa
Bei-ml 150 maongezi
Location- mbezi mwisho
Umbali-mita 500 kutoka stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani
Piga simu kwamaelezo zaidi:: 0672 673363