Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


🏡🔆Wengi wanatamani sana kuishi kwenye kiwanja kikubwa au kuwekeza kwenye kiwanja kikubwa ,
🟢Milimi kiwanja hiki kilichopo eneo la michese kilichopo mkabala na eneo la maghorofa ITEGA
🟢Kiwanja no 297
Kina ukubwa wa Sqm 1300
Matumizi MAKAZI AU BIASHARA
🟢Kiwanja eneo limepimwa na alimashauri ya jiji la Dodoma na
Kiwanja kina HATIMIKI YA MIAKA 99
🛣️Umbali wa kutoka mjini Kati adi kwenye kiwanja ni km 6 adi km 7
Ni karibu na Barabara kuu ya michese ITEGA
💵BEI YA KIWANJA NI=29m tuu
Unanafasi kubwa ya kumiliki kiwanja eneo hili la michese
kwa maelezo zaidi tupigie simu no
📲0745200984
☎️0747999997
🏡Au fika ofisi za luck real estate zilizopo Dodoma mjini mtaa wa Uhindini mkabala na wizara ya ujenzi na uchukuzi